Thursday 27 February 2014

NEW T_SHIRT DESIGN FOR YSC COMPUTER TRAINING CENTRE IN MOSHI


Hizi ni design zilizofanya na High Classic Pro kwa ajili ya T_shirt za YCS shule ambayo ipo moshi mkabala na mahakama ya mwanzo

Wednesday 12 February 2014

NEW LOGO GOEF. MASTERS


Logo ya producer anayekwenda kwa jina la Goef. Masters ambaye ametengeneza Beats na kazi kibao kwenye Studio nyingi hapo Dar.

Friday 7 February 2014

MY BEST DIRECTORS IN AFRICA


Kila ninapoangalia  kazi ya watu hawa najiuliza ni lini na mimi nitafika hapo walipo??
Kiukweli directors hawa wanafanya kazi mzuri wanastahili pongezi 
Big up keep it Up Boys....
In the Next One # Year of Success 2014


BOYS ON SET