Monday 19 January 2015

DESIGNING T-SHIRTS LOGOS FOR BAME & BA-BEC STUDENTS AT MUCO





Leo Tar:20 Jan 2015 nilikuwa nafanya design ya T-shirts za wanafunzi wa chuo cha Muco Moshi mjini ambao walikuwa wanamalizia mwaka wao wa mwisho pale chuoni. Ba-me & Ba-bec ndio baadhi ya course ambazo niliwafanyia design.
Tuliamua kufanya kitu cha tofauti katika kila T-shirts kwa kuprint kila jina la mwanafunzi nyuma ya T-shirt ilikuzipa ubora na muonekano tofauti...


Ba-bec - Ukawa Edition
 

CONTACTS :0718243339
eMAIL:highclassicpro@gmail.com


We work as a team your among us

enjoy

No comments:

Post a Comment