Friday 13 March 2015

BUSINESS CARDS TL PRODUCTION




Kama unakumbuka vizuri hii kampuni ndio tuliowatengenezea Logo Yao. Walitupa kazi yao nyingine ya kuwatengenezea Business Card zao. Ilituchukua siku moja tu kufanya kazi unayoiona hapo juu. Speed ya kazi na kazi mzuri ndio malengo yetu kukupa kitu unachokipenda kwa muda muafaka 

Tembelea Facebook page yetu

eMAIL:highclassicpro@gmail.com

Au wasiliana Nasi kwa simu
Call us 0718243339
We work as a team your among us

No comments:

Post a Comment